Friday, May 8, 2015

BENK YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA

kurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein na baadhi ya viongozi wa benki hiyo.

: Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Kassim Hussein (kulia) akimtambulisha kwa waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa benki hiyo, Edward Marks (kulia kwake) jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) alisalimiana na baadhi ya wanahabari waliohudhuria hafla ya utambulisho wake jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein.

No comments: