Sunday, May 24, 2015

LIVE--PICHA ZA AWALI--KINACHOFANYWA NA CHADEMA KAWE MUDA HUU

Nimekuwekea picha kutoka katika viwanja vya tanganyika pecas kawe jijini Dar es salaam ambapo kunafanyika mkutano mkubwa wa kisiasa wa chama cha democrasia na maendeleo chadema.ambapo mgeni rasmi atakuwa ni mwenyekiti wa chama hicho taifa mhFREMNAN MBOWE ambaye anatarajia kuwasili hapa muda wowote kuanzia sasa.mkutano huu pia utarushwa moja kwa moja na ITV muda wowote kuanzia sasa..Tizama picha kadhaa za awali za mkutano huo wananchi wa kawe wakimiminika katika viwanja hivi.ntazidi kukupa kila kitakachojiri hapa msomaji wangu.

Vijana wa ulinzi wa chama hicho wakiwasili hapa kuimarisha ulinzi




















Vijana wa boda boda ziadi ya mia mbili wameuzunguka uwanja huu

No comments: