Wednesday, May 13, 2015

MBATIA NA MREMA WALIVYOKUTANA USO KWA USO KANISANI

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatia
akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema mara
baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya
kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini
iliyofanyika mwishoni mwa wiki/
Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba
Kotelailokofanyika ibada hiyo
Mbunge Mbatia akiingia kanisani
humo.
Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop
Moshiunaofanyika kando ya Usharika huo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop
Moshi wakiwa katika ibada hiyo.
Viongozi mbalimbali wa dini pia
walikuwepo.
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge
mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.
Askofu mstaafu Dkt Martin Shao akizungumza
wakati wa ibada hiyo.
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada
hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza
wa KKKT dayosisi ya Kaskazini,Stephano Moshi.
Askofu mstaafu Dkt Erasto Kweka
akimzungumzia marehemu Baba Askofu Stephano Moshi jinsi alivyo
mfahamu.
Baba Askofu Dkt Shoo akitoa hotuba yake
.
Ikafika wakati wa kuchangia ujenzi wa
taasisi ya saratani ya Bishop Moshi na aliyealikwamwanzo alikuwa ni
Mbunge wa jimbo hilo Dkt  Mrema .
Dkt Mrema akimtizama mkewe Rose Mrema wakati
akitoa pesa kwa ajili ya mchango wa harambee ya kuchangia taasisi hiyo
ambapo alitoa kiasi cha sh 500,000.
Baadae ikafika zamu ya Mbatia ambaye alipata
nafasi ya kuzungumzakido huku akieleza kuwa tayari amekwisha changia
kiasi cha Sh Mil 10 kwa ajili ya shule ya sekondari ya Bishop Moshi na
pia alitoa kiasi cha sh Mil 2 kwa ajii ya ujenzi wa taasisi
hiyo.
Baba Askofu ,Dkt Shoo akimhukuru Mbatia kwa
mchango anaoendelea kutoa kwa kanisa.
Baba Askofu Dkt Shoo akizindua rasmi jengo
la kuweka kumbukumbu za Askofu wa Kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini
Stephano Moshi.
Baba Askofu Dkt Shoo akiingia katika jengo
hilo.
Baba Askofu Dkt Shoo akitia saini katika
kitabu cha kumbukumbu.
Askofu mstaafu ,Dkt  Martin Shao akitia
saini katika kitabu cha kumbukumbu.
Baba Askofu,Dkt Shoo akiweka shada la maua
katika kaburi la askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini na
kufanya maombi katika kaburi hilo.
Mbunge wa kuteuliwa na rais,James Mbatia
akitia saini katika kitabu cha kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT
dayosisi ya Kaslazini mStephano Moshi .
Mbunge wa kuteuliwa ,James Mbatia akiweka
shada la mauakatika kaburi la Askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya
kasakzini ,hayati Stephano Moshi.
Mbatia akizungumzajambo na askofu msataafu
Dkt Martin Shao mara baadaya kumalizika kwa ibada
hiyo/
Maaskofu wastaafu ,Dkt Erasto Kweka na Dkt
Martini Shao wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa kuteuliwa
James Mbatia mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kumbu kumbu ya
asakofo wa kwanza wa KKKT ,Stephano Moshi.
Na Dixon
Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kasakazini.

No comments: