Wednesday, May 13, 2015

SIKU YA WAUGUZI ILIVYOFANA HUKO HAI JANA


Wauguzi wa Hosipitali ya Wilaya ya Hai Wakibeba mabango katika siku ya Wauguzi duniani iliyo fanyika hapo jana

Wauguzi wakifanya maandamano barabarani Hai.

Mganga Mkuu wa Hosipitali ya Wilaya ya Hai wa kwanza umbele kulia akibebaakifuatiwa na Katibu Tawala Wilaya Bi Zuhura Chikira wakiwasha mshumaa kuelekea wodini kutoa zawadi.


Katibu Tawala Akichukua matunda na kugawia akina mama wajawazito na walio jifungua.




Mganga Mkuu wa Hosipitali ya Wilaya ya Hai Paul Chaote akigawa matunda kwa Mtoto aliye lazwa hosipitalini hapo katika siku hiyo ya Wauguzi duniani.

No comments: