Sunday, May 17, 2015

PICHA 10--STARS ILIVYOJIFUA JIONI HII HUKO SAUZI

Timu ya taifa ya Tanzania TAIFA STARS ipo nchini africa kusini kwa mualiko wa kushiriki mashindano ya COSAFA.hapa nimekuwekea picha kadhaa leo jioni hii wakijifua kwa ajili ya mchezo wao wa kesho hidi ya Swaziland  hapa ni katika uwanja wa
 Royal Bafokeng Stadium ambao pia utatumika kwa mchezo huo kesho










No comments: