Sunday, May 17, 2015

MWALIMU AJINYONGA SIKU AKIJIANDAA NA HARUSI YAKE NA KUACHA UJUMBE MZITO--SAMAHANI KWA PICHA

Mwalimu wa Shule ya amsingi Isangwa Wilaya ya Kalolo na mkoa wa Iringa amejinyonga chumbani kwake usiku wa kuamkia leo.
Cha kusikitisha leo ndo ilikua kikao cha mwisho cha harusi yake na mmoja wa mwana kamati anasema hadi sasa hawajajua chanzo cha marehemu kuamua kuchukua uamuzi huo.
Picha za tukio:



CHANZO-JAMII FORUM

No comments: