.

NEW SONG-KURADILI SIKILIZA KIJANA UHAMASIKE Nyimbo mpya ya muunganiko wa wasanii mbalimbali kutoika nchini tanzania kama KALA JEREMIA,STAMINA,SNURA MUSHI,G NACO na wasanii wengine wakiamua kuhamasisha watanzania kujiandikisha kwa wingi katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kupiga kura kwani kura yao ni Dili kubwa sana.Kampeni hiyo inaitwa KURADILI.NYIMBO IPO JUU HAPO

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.