Friday, June 12, 2015

TIZAMA PINDA ALIVYOJITOSA MZIMA MZIMA URAIS

 Wageni wakisikiliza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kuchukuwa   fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma
 Baadhi  ya wananchi  wa Dodoma waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM kumsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza baada  ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma

 Baadhi  ya wazee wa Dodoma waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM kumsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza baada  ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu baada ya kuwasili kuwasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma kuchukuwa fomu za kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao . Kulia ni Mkewe Tunu  na kushoto ni Katibu wa Secretarieti ya CCM, Mohammed Seif Khatib. 
  Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa ameshika fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. Kulia ni Mkewe Tunu  na kushoto ni Katibu wa Secretarieti ya CCM, Mohammed Seif Khatib. (
  Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa ameshika fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. Kulia ni Mkewe Tunu  na kushoto ni Katibu wa Secretarieti ya CCM, Mohammed Seif Khatib. 
  Baadhi ya waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma 
 vifijo na nderemo
 Baadhi ya waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma 
 Baadhi ya waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma 
 Wageni wakisikiliza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma 
Baadhi ya waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa  fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: