Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati alipofika kwa ajili ya kuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment