Thursday, July 30, 2015

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara kupatikana usiku wa leo

Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Duka la Tigo Mtwara leo
Meza kuu ikiwa kwenye zoezi la mchujo wa kumpata mwakilishi wa Mtwara, kutoka kushoto, Mshindi wa Tigo Supa Nyota 2017, Maarifa Mac, Adam Mchomvu, Fid Q na Edgar Mzoka a.k.a Smarter

Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Mbuta The Swagz akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara.


Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Young Ney akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara

Msanii Farid Kubanda Fid Q(katikati) akiwa kwenye majukumu ya kufanya mchujo


Majaji wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki waliofika tano Bora 

No comments: