Monday, July 27, 2015

Mshtuko Tanzania,Lowasa awasili chadema rasmi,apokelewa na Dk Slaa na Viongozi Wakuu.

Wakati macho ya watanzania wengi wakiwa wanatizama umoja wa katiba ya wananchi UKAWA juu ya kumtaja mgombea wao,mambo yameanza kuwa mambo baada ya kikao kikuu cha cha CHADEMA kimemjumuisha pia aliyekuwa mbunge wa monduli,EDWARD LOWASA huku usiri mzito ukiwa umetawala katika kikao hicho.
Kikao hicho ambacho kinaendelea katika hoteli moja hapa Dar es salaam kimekuwa kikifanyika kwa siri licha ya picha hizi kuvuja japo wengine wakisema kuwa EDWARD LOWASA anaweza kujiunga na chama hicho.
Tuendelee kusubiri


No comments: