Saturday, August 15, 2015

Arusha tayari kumeiva-Picha za awali lowasa amewasili hapa

Tayari mkoani Arusha mambo yameanza baada ya mgombea EDWARD LOWASA kuwasili kusaka wadhamini leo,hizi ni Picha za kwanza kabisa za lowasa akiwasili arusha na hali ilivyo uwanjani atakapohutubia leo,picha zaidi endelea kufwatilia mtandao huu

No comments: