Tuesday, August 18, 2015

Dodoma mjini ilikuwa hivi wakati Ben Kigaila akichukua form ya ubunge


Mkurungenzi wa Oganezesheni na Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Benson Kigaira akiwa kwenye gari la wazi akipungia wafuasi wa chama hicho, wakati akielekea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge jimbo la Dodoma mjini leo Jumatatu Agosti 17, 2015
Kigaila, akipokea fomu kutoka kwa afisa wa CHADEMA mkoani Dodoma, Elizabeth Gumbo

No comments: