heeeh--Sikiliza sauti ya nape akimkashfu LOWASA leo,anamwita mwizi,tapeli,
Sikiliza suti hii ni mkutano uliomalizika wa wanahabari na nape,sikiliza hadi mwisho usikie akijibu maswali ya wanahabari leo,sauti hii alitoa onyo isirekodiwe lakini nimeamua kukuwekea hapa ndugu mtanzania
No comments:
Post a Comment