Thursday, August 13, 2015

Imetokea mabibo hii inashangaza


Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limeendesha operation kali ya kusafisha jiji ambapo katika operation hiyo jeshi hilo limefanikiwa kukamata pombe haramu aina ya gongo lita 500 katika eneo la mabibo manispaa ya kinondoni iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea kusikojilikana kwa kutumia gari namba T533 CYZ aina ya Toyota COLORA ambayo wahusika wa gari hilo walilitelekeza na kukimbia baada ya kuwaona askari.
Polisi wanasema kuwa uchunguzi wa swala hilo unaendelea.PICHA HIYO NDIYO POMBE YENYEWE.

No comments: