Saturday, August 8, 2015

Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini

Katibu tawala mkoa wa Rukwa,  ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya  uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.

Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja, mara  baada ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo mtaa wa Sokomatola ,Sumbawanga mjini.

Wafanyakazi wa duka jipya la Tigo lililopo Sumbawanga mjini wakipozi kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi (mstari wa mbele katikati) ndugu Smythies Pangisa  ambaye ni Katibu tawala mkoa wa Rukwa, muda mfupi baada ya hafla fupi ya uzinduzi wa duka la Tigo Sumbawanga Mjini.

No comments: