Monday, August 17, 2015

Kazi imeisha--Tizama ukawa walivyogawana majimbo ya bara,mgawanyo wote uko hapa sasa



UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)

MGAWANYO WA MAJIMBO YA UBUNGE KWA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015

Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), uliasisiwa wakati wa Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014, lengo likiwa kuunganisha nguvu za Wabunge wote wa Bunge hilo kwa ajili ya kusimamia na kutetea maoni ya wananchi yaliyowasilishwa kupitia rasimu ya pili ya Katiba iliyotayarishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

UKAWA ulihusisha wabunge kutoka vyama mbalimbali vya upinzani na baadhi ya wabunge kutoka kundi lililojulikana kama la 201. Baadaye, UKAWA ulibaki na wabunge na Viongozi kutoka vyama vya NLD, NCCR – Mageuzi, CUF na CHADEMA.

Ikumbukwe kwamba viongozi wakuu wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) walikubaliana tangu mwaka 2014 kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 UKAWA utasimamisha mgombea mmoja katika kila ngazi ya Uchaguzi kuanzia Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar, Mbunge, Mwakilishi na Diwani katika maeneo yote ya nchi.

Azma na ndoto ya viongozi, wanachama wa vyama washirika wa UKAWA na Watanzania ni kuhakikisha Serikali ya CCM inaondoshwa katika majimbo yote, na kuingiza Serikali mpya ya UKAWA.

Baada ya Majadiliano ya  muda mrefu, kuhusu kuachiana majimbo ya Ubunge, vyama vinavyounda UKAWA vimefanikiwa kuachiana majimbo kama inavyoonekana katika orodha.

Ieleweke kwamba, mgawanyo huu wa majimbo hautahusiana na mgawanyo wa kata za kugombea udiwani, mwongozo wa kuachiana kata ndio utumike katika maamuzi ya kuamua namna ya kugombea kata.

Ifuatayo ni orodha ya majimbo ya upande wa Tanzania Bara, inayoonesha namna vyama vinavyounda UKAWA vilivyoachiana majimbo ya Ubunge:



Mkoa
Jimbo
CHAMA
Mara


Rorya
CDM
Tarime Mjini
CDM
Tarime Vijijini
CDM
Musoma Vijijini
CDM
Butiama
CDM
Bunda Mjini
CDM
Mwibara
CDM
Musoma Mjini
CDM
Bunda Vijijini
CDM
Simiyu


Bariadi
CDM
Maswa magharibi
CDM
Maswa mashariki
CDM
Kisesa
CDM
Meatu
CDM
Itilima
CDM
Busega
 CUF
Shinyanga


Msalala
CDM
Kahama Mjini
CDM
Kahama Vijijini
CDM
Shinyanga Mjini
CDM
Kishapu
CDM
Ushetu
CDM
Mwanza


Ukerewe
CDM
Magu
CDM
Nyamagana
CDM
Kwimba
CUF
Sumve
CUF
Buchosa
CDM
Sengerema
CDM
Ilemela
CDM
Misungwi
CDM
Geita


Bukombe
CDM
Busanda
CDM
Nyang'wale
CDM
Chato
CDM
Mbogwe
CDM
Kagera


1
Karagwe
CDM
2
Kyerwa
CDM
3
Bukoba Mjini
CDM
4
Bukoba Vijijini
 CUF
5
Nkenge
 NCCR
6
Muleba Kaskazini
CDM
7
Muleba Kusini
CDM
8
Biharamulo
CDM
9
Ngara
 NCCR
Mbeya


Lupa
CDM
Songwe
CDM
Mbeya Mjini
CDM
Kyela
CDM
Rungwe
CDM
Busekelo
CDM
Ileje
 NCCR
Mbozi Mashariki
CDM
Momba
CDM
Mbeya Vijijini
CDM
Tunduma
CDM
Viwawa
CDM
Iringa


1
Ismani
CDM
2
Kalenga
CDM
3
Mufindi kaskazini
CDM
4
Mufindi Kusini
 NCCR
5
Iringa Mjini
CDM
6
Kilolo
CDM
7
Mafinga Mjini
CDM
Njombe


1
Njombe Kaskazini
CDM
2
Lupembe
CDM
3
Wanging'ombe
CDM
4
Makete
CDM
5
Ludewa
CDM
6
Makambako
CDM
Rukwa


1
Nkasi Kusini
CDM
2
Kwela
CDM
3
Nkasi Kaskazini
CDM
4
Sumbawanga Mjini
CDM
5
Kalambo
CDM
Tanga


1
Handeni Mjini
CUF
2
Handeni Vijijini
CUF
3
Kilindi
CDM
4
Pangani
CUF
5
Tanga Mjini
CUF
6
Muheza
CDM
7
Bumbuli
CUF
8
Mlalo
CUF
9
Lushoto
CUF
10
Korogwe
CDM
11
Korogwe Vijijini
CDM
12
Mkinga
 CUF
Kilimanjaro


Rombo
CDM
Same Magharibi
CDM
Same mashariki
CDM
Vunjo
 NCCR
Moshi Vijijini
CDM
Moshi Mjini
CDM
Hai
CDM
Siha
CDM
Arusha


1
Arumeru Mashariki
CDM
2
Arumeru Magharibi
CDM
3
Arusha Mjini
CDM
4
Longido
CDM
5
Monduli
CDM
6
Karatu
CDM
7
Ngorongoro
CDM
Manyara


1
Simanjiro
CDM
2
Mbulu Vijijini
CDM
3
Hanang
CDM
4
Babati Mjini
CDM
5
Babati Vijijini
CDM
6
Kiteto
CDM
7
Mbulu Mjini
CDM
Dar es Salaam


Ubungo
CDM
Kawe
CDM
Kinondoni
 CUF
Ukonga
CDM
Ilala
CDM
Temeke
CUF
Kibamba
CDM
Mbagala
CUF
Pwani


1
Bagamoyo
CUF
2
Chalinze
CDM
3
Kibaha Mjini
CDM
4
Kibaha Vijijini
CDM
5
Kisarawe
CUF
6
Mkuranga
CUF
7
Rufiji utete
CUF
8
Mafia
CUF
9
Rufiji Kibiti
CUF
Morogoro


Kilosa
 CUF
Mikumi
CDM
Morogoro Kusini
CDM
Morogoro Kusini Mashariki
CUF
Kilombero
CDM
Mlimba
CDM
Mvomero
CDM
Ulanga Magharibi
CDM
Ulanga Mashariki
CDM
Morogoro Mjini
CDM
Dodoma


Kondoa Mjini
CUF
Kondoa Vijijini
CUF
Chemba
CUF
Kibakwe
NCCR
Kongwa
CDM
Dodoma Mjini
CDM
Bahi
CDM
Chilonwa
CDM
Mtera
NCCR
Singida


1
Iramba magharibi
CDM
2
Iramba mashariki
CDM
3
Singida kaskazini
CDM
4
Singida Mashariki
CDM
5
Singida Magharibi
CDM
6
Manyoni magharibi
CDM
7
Manyoni Mashariki
CDM
Tabora


1
Bukene
CUF
2
Nzega Mjini
CDM
3
Nzega Vijijini
CUF
4
Igunga
CDM
5
Igalula
CUF
6
Tabora Kaskazini
CUF
7
Urambo
CDM
8
Kaliua
CUF
9
Ulyankulu
CDM
10
Sikonge
CDM
11
Tabora Mjini
 CUF
12
Manonga
CDM
Katavi


1
Mpanda Mjini
CDM
2
Mpanda Vijijini
CDM
4
Katavi
CDM
5
Nsimbo
CDM
6
Kavuu
CDM
Kigoma


1
Buyungu
NCCR
2
Mhambwe
NCCR
3
Kasulu Mjini
NCCR
4
Kasulu Vijijini
NCCR
5
Kigoma Kaskazini
CDM
6
Kigoma Kusini
NCCR
7
Kigoma Mjini
CDM
8
Manyovu
NCCR
Ruvuma


1
Tunduru Kaskazini
CUF
2
Peramiho
CDM
3
Mbinga Magharibi/Nyasa
CDM
4
Mbinga Mashariki/Mbinga
CDM
5
Namtumbo
CUF 
6
Songea Mjini
CDM
7
Tunduru Kusini
CUF
8
Madaba
CDM
9
Mbinga Mjini
NCCR
Mtwara


Newala Mjini
CUF
Newala Vijijini
CUF
Tandahimba
CUF
Mtwara Vijijini
CUF
Nanyamba
CUF
Nanyumbu
CUF
Lulindi
NLD
Masasi
NLD
Ndanda
NLD
Lindi


1
Mtama
CUF
2
Kilwa kaskazini
CUF
3
Kilwa kusini
CUF
4
Lindi mjini
CUF
5
Ruangwa
CUF
6
Nachingwea
CUF
7
Liwale
CUF
8
Mchinga
CUF


Mhe. John Mnyika
Kny. Katibu Mkuu – CHADEMA



Mhe. Shaweji Mketo
Kny. Katibu Mkuu – CUF



Mhe. Nderakindo Kessy
Kny. Katibu Mkuu – NCCR



Mhe. Masudi I. Makujunga
Kny. Katibu Mkuu – NLD






No comments: