Umati mkubwa wa wakazi wa kisiwani Zanzibar wakiwa tayari katika viwanja vya Kibanda Maiti kuwasikiliza viongozi wa UKAWA ikiwa ni pamoja na kumsikiliza mgombea uraisi kupitia umoja huo Mh. Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni.
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika Mkutano eneo la Kibanda Maiti.
No comments:
Post a Comment