Friday, August 7, 2015

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene atembelea kiwanda cha kutengeneza vigae cha mkoani mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeaya hivi karibuni.




Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali

No comments: