Thursday, September 10, 2015

FASTJET YA ONGEZA AJIRA KWA VIJANA TANZANIA

Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza kazi. Wengine katika picha ni Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (mwenye vazi jeupe)  na mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto).Shirika la ndege la Fastjet waongeza ajira kwa vijana Tanzania kwa kuajiri wahudumu wa ndege 12 na kuwapatia mafunzo ya kazi.

Meneje Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto) akimkabidhi  muhudumu wa ndege hiyo Geofrey Brian (kulia) cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu  wa ndege.

Meneja Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet, Jimmy Kibati, (watatu kushoto) kwenye picha ya pamoja na Mshauri kibiashara wa Fastjet Ian Petrie (kulia), Rubani Mkuu wa fastjet, Derrick Luembe (wapili kulia), mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto) na muhudumu wa ndege hiyo, Khadija Saleh Kasim (wapili kushoto).
Baadhi ya wahudumu wa ndege ya Fastjet waliohitimu mafunzo yao kwenye picha ya pamoja.

Meneja mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Katikati), Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (kulia) na baadhi ya wahudumu wa ndege hiyo wakikata keki kwa pamoja siku ambayo wahudumu hao wa ndege walipohitimu mafunzo yao.

Meneje Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto) akimkabidhi  muhudumu wa ndege hiyo, Khadija Saleh Kasim (kulia) cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu  wa ndege.

No comments: