|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye kufungua maonyesho ya biadhaa za China 2015, katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam |
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (katikati) akikata utepe kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana |
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akitembea maonyesho ya biadhaa za China 2015, mara baada ya kufungua maonyesho hayo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam |
Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.
No comments:
Post a Comment