Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce , Industry and Agriculture (TCCIA)wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi a Diamond Jubilee. |
No comments:
Post a Comment