Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana.
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal wakati uzinduzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana. Pembeni ni Afisa Mawasiliano na Masoko wa Fastjet Lucy Mbogoro.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana.
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Fastjet wakiwa kwenye pozi.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana
No comments:
Post a Comment