Mh. Edward Lowassa amewasili kwenye viwanja vya shule ya msingi Namanga, kwenye mpaka wa Namanga. Jioni hii 7/10/2015 |
Hapo awali kabla ya mkutano wa jioni hii Mh Lowassa alazimishwa kufanya mkutano usio rasmi baada ya msafara wake uliokuwa unaelekea Longido kuzuiwa Ngaramtoni, wananchi walimlazimisha wasikie tu sauti yake.,Picha za chini
No comments:
Post a Comment