Wednesday, October 7, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.
L
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.
T
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana  na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.
(Picha na OMR)

No comments: