Thursday, October 15, 2015

Lowasa huko Magu na Sengerema ni balaa leo,Tizama Hii

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Sengerema katika viwanja vya Mnadani leo Alhamisi 15/10/2015

Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, leo Oktoba 15, 2015.











No comments: