Meneja wa ubora huduma kwa wateja waTigo Bi.
Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja watigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula
la TigoNkurumah.
|
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert
Latonga akifanya mahojiano na mtejawa Tigo,
Hamadi Maliwata mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja waTigo.
|
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika,
akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo
|
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Nkurumah,
Lulu Kikuli akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga
|
No comments:
Post a Comment