Monday, October 5, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KULINDA NA KUENDELEZA VITUO VYA BIASHARA TANZANIA.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiperuzi Document na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, baada ya ufunguzi rasmi  uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015. Picha na OMR

Baadhi ya washiriki na wadau waliohudhuria mkutano huo wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofunguliwa leo kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, mara baada ya ufunguzi rasmi. Picha na OMR

No comments: