Monday, October 5, 2015

UISHI MAISHA MAREFU BI HELLEN KIWIA,MKURUGENZI FPN

Mkurugenzi wa maendeleo ya masoko wa kampuni ya Frontline Porter Novelli (FPN) Bi Hellen Kiwia akifurahia zawadi ya Champagne aliyopewa na wafanyakazi wenzie katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mapema wiki jana , Happy birthday Hellen, live long.


No comments: