Mapokezi ya LOWASA huko TUNDUMA ni balaa,mkutano washindwa kufanyika

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma,Jumamosi 17/10/2015, lakini mkutano uliahirishwa mpaka kesho saa 3 asubuhi kutokana na vipasa sauti kupata hitilafu na kugoma kutoa sauti,hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda,ndipo mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo,hadi kesho Jumapili 18/10/2015 About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.