Friday, October 16, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIEMBESAMAKI.

????????????????????????????????????
Balozi Amina Salum Ali akiwatambulisha wagombea wa CCM Jimbo la Kiembesamaki, (kulia) Mahmopud Thabit Kombo Mgombea Uwakilishi na Ibrahim Raza Mgombea Ubunge.
????????????????????????????????????
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo  akiwaonyesha wanachama na wapenzi wa Chama hicho mfano wa karatasi ya kupiga kura kwa nafasi ya Rais wa Zanzibar katika mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Mombasa.
????????????????????????????????????
Wagombea Ubunge Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Raza na mwenzake wa Jimbo la Welezo Sada Mkuya wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika mtaa wa Mombasa.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwasikiliza viongozi wao kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Mombasa.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments: