Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na masuala mbalimbali ya uchaguzi katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar,kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Fedha ya Baraza la vyama vya Siasa Constantine Akitanda na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa ya Baraa la vyama vya Siasa Lifa Chopaka.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray kuhusiana na masuala mbalimbali ya uchaguzi katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mwandishi wa habri wa Jambo leo Mwinyimvua Nzukwi akiuliza maswali katika Mkutano na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa kuhusiana na masuala mbalimbali ya uchaguzi katika ukumbi wa Bwawani Hotel zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment