.

RAIS KIKWETE APOKEA MWENGE WA UHURU MJINI DODOMA

unnamedNunnamedB
unnamed.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati  wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 14, 2015.
(Picha na Freddy Maro)

unnamed
unnamedb
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu2015 na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015
unnamedn
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa malum akipigiwa wimbo wa taifa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma kuongoza maadhimisho yam bio za mwenge.
unnamed7  unnamedm
Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho yam bio za mwenge wa Uhuru.

Picha na Freddy Maro

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.