Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo wakipokea heshima.
Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais Kikwete katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya naye mazungumzo.
Rais Kikwete akimtambulishwa kwa baadhi ya wabunge.
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari Bungeni Maputo (kulia), Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo.
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.
Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akimvisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete vazi maalum na kumkabidhi Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo.
(Picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wakigonga glasi ya kutakiana heri wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake katika ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Ponta Vermelha jana usiku.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga wananchi wa Msumbiji akisisitiza kuwa uhusiano wa kidugu na kipekee kati ya nchi hizo mbili utaendelea kudumu na kukua.
(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment