Sunday, November 22, 2015

Tigo Yadhamini Gulio la Annual Charity Baazar

Kikundi cha sanaa cha Jumping Village kikitoa burudani kwenye gulio la lililoandaliwa na wake wa mabalozi lililofanyika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki.  

Mtoa huduma wa Tigo, Khalid Omary akitoa huduma kwa wateja wa Tigo kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii.

Watoa huduma wa Tigo, Joshua Samuel na Judith Alfred wakitoa huduma kwa mteja wa Tigo, Justus Ndimbo mkazi wa Yombo Buza kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.

No comments: