.

Tizama Video---Wanachama wa CUF uingereza waruhusiwa kuandamana kudai ushindi wa SEIF

Ni video ya maandamano yalioandaliwa na Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Uingereza, kutaka Uingereza iingilie kati na kuweka shindikizo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa,. Mandamano yalifanyika siku ya Alhamis Novemba 19, 2015 jijini London. 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.