Tuesday, December 22, 2015

MDAU WA HABARI24 MEDIA OPTA STAN NAYE ABEBA GAMBA

Mwandishi wa habari wa mtandao wa HABARI24 BLOG Optatus Stan amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya ngazi ya cheti katika maswala ya ufundi Computer na Mtandao katika chuo cha KIPAWA INSTITUTE OF INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY Jijini Dar es salaam.Mtandao Huu unamtakia mafanikio mema katika shughuli zake za kila siku

No comments: