Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Desemba 21, 2015
 |
| Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakimswalia marehemu Tausi Khalfan Kikwete, jana Desemba 21, 2015, Kijiji cha Msoga Wilaya ya Chaline Mkoa wa Pwani. Picha na OMR |
 |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment