Tuesday, December 15, 2015

SAED KUBENEA ALIPOPANDISHWA MAHAKAMANI LEO

ku1
 Mbunge wa jimbo la Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam mapema hii leo akielekea katika  chumba cha kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
ku2
  Mbunge wa jimbo la Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Hata hivyo, Kubenea amekana kufanya kitendo hicho na kesi yake imeahirishwa hadi Desema 29, mwaka huu.(Picha na Avila Kakingo wa Michuziblog.

No comments: