Thursday, December 24, 2015

SALAMU ZA SIKUKUU KUTOKA HABARI24 MEDIA.ASANTENI SANA KWA MWAKA HUU












Kwa niaba ya Uongozi mzima wa mtandao wa Habari 24 blog http://habari24.blogspot.com/ na wadau wake wote,Tunayo furaha kubwa sana kukushukuru sana kuendelea kuwa mdau wetu kwa muda mrefu sasa na kuendelea kupata habari moto moto kutoka kwetu kila siku na kila zinapotufikia.

Tunashukuru pia kwa wale ambao wamekua wakifanya kazi na sisi kwa muda wote na kutuwezesha kwa namna moja ama nyingine kuendelea kusonga mbele.

Tunachukua nafasi hii kuwatakia nyote Kheri ya Sikukuu ya CHRISMAS kwa wale ambao wanaisherehekea na tunaomba mungu pia wote kwa pamoja tuweze kuvuka mwaka huu na kuona mwaka mpya wa 2016 ili tuendeleze harakati za kuieletea Tanzania Maendeleo ya kila siku.

Asateni sana kwa umoja wetu wa kila siku
EXAUD MTEI-MSAKA HABARI
MKURUGENZI MTENDAJI WA HABARI24 MEDIA.




No comments: