Thursday, December 24, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID

k1k2
 Baadhi ya washiri wa Baraza la Maulid wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipohutubia Baraza hilo kwenye  ukumbi wa Karimjee jijiniDar es salaam Desemba 24, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

k3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim katika baraza la idd alilolihutubia  kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Desemba 24, 2015. ,Kushoto ni Bw. Azim Dewji na wapili kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku na kulia nii Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi,  Ramadhani Kailima.
k4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja na baadhi ya washiriki wa baraza hilo baada ya kuhutubia Baraza la Idd kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Desemba 24, 2015.

No comments: