Saturday, December 19, 2015

Tizama Mkutano wa CCM huko MASASI wa kufunga kampeni za ubunge,Picha zipo hapa

Hapa ninazo Picha pia Kutoka jimboni MASASI,mkutano wa kufunga kampeni za ubunge Jimbo la MASASI chama cha mapincuzi CCM leo,mkutano ambao ulihudhuriwa na viongozi kadhaa wakuu wa chama hicho akiwemo katibu wa Itikadi na uenezi ambaye pia ni mbunge wa Mtama na waziri wa Habari Vijana Utamaduni na michezo Mh NAPE NNAUYE akiambatana pia na mbunge wa mtwara vijijini HAWA GHASIA pamoja na viongozi wengine wa chama hicho,uchaguzi huo unafanyika kutokana na aliyekuwa mgombea wa ubunge katika jimbo hilo DR EMANUEL MAKAID WA UKAWA kufariki dunia wakati wa uchaguzi mkuu TanzaniaUnaweza kutizama baadhi ya picha ambazo tumezinasa kutoka huko



No comments: