Tuesday, December 22, 2015

Uzinduzi wa Duka Jipya la Tigo Musoma Mjini

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen akikaribishwa na mwenyeji wake, Meneja huduma kwaWateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo kabla ya uzinduzi wa tawi jipya la TigoMusoma mjini. Wengine pichani ni Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi na mwakilisi wa RAC.

    Meneja wa Mauzo wa Tigo Mkoa wa Mara Edwin Kisamo akitoa utambulisho kwa meza kuu.

1.    Meneja wa Mauzo Tigo  Kanda ya Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni waalikwa na wanahabari kabla ya uzinduzi wa Duka la Tigo wilayani Musoma Mjini .

  Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen akikata utepe kufungua rasmi duka la Tigo Musoma Mjini , anayeshuhudia ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo.
Meneja wa Mauzo Tigo  Kanda ya ziwa, Edgar Mapande akimkabidhi simu Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini Mhe.Zelothe Stephen, mara baada ya uzinduzi wa duka la Tigo Musoma mjini

1.    Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini , Mhe.Zelothe Stephen akiongea na waandishi wahabari na wadau mbalimbali wakati waufunguzi wa duka la Tigo Musoma mjini, Wengine kutoka kulia Meneja wa MauzoTigo mkoa wa Mara, Edwin Kisamo, Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo na Katibu wa Mkuu wa mkoa Bw. Marwa

  Meneja wa Mauzo Tigo  Kanda ya ziwa, Edgar Mapande akimkabidhi simu Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi mara baada ya uzinduzi wa duka la Tigo Musoma mjini.
Baadhi ya wateja wakingalia bidhaa mbalimbali mara baada ya uzinduzi


  Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi

Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na wakuu mbalimbali

No comments: