Thursday, January 14, 2016

MKE WA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU, MAMA ASHA BILAL AHITIMU STASHAHADA YA UZAMILI KATIKA MENEJIMENTI YA KIMATAIFA

Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati)
akiwa na wahitimu wenzake walipokuwa wakitunukiwa Stashahada ya Uzamili katika
Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia
Kurasini jijini Dar es Salaam, jana Januari 13, 2016. Picha na Mafoto Media/Muhidin
Sufiani

 Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati) akiwa na wahitimu wenzake
Janeth Nyoni (kushoto) na Hadija Hashim, baada ya kutunukiwa Stashahada ya
Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao yaliyofanyika
Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana.

 Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya
wageni waalikwa wakati wa sherehe ya maafali yake yaliyofanyika  Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es
Salaam, jana Januari 13, 2016. Mama Asha na wenzake walitunukiwa Stashahada ya
Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa.

 Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha
ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa baada ya kutunukiwa Stashahada ya
Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao yaliyofanyika
Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana

 Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (kushoto) akiwa na Meneja Mfuko wa Pensheni
wa PSPF, Lulu Mengele, baada ya kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika
Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia
Kurasini jijini Dar es Salaam, jana Januari 13, 2016. Kulia ni mke wa Balozi wa
Tanzania nchini Geneva, Rose Mero.

 Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya wahitimu
wenzake wa Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana Januari 13,
2016, baada ya kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa
kwenye Mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo.

 Baadhi ya Wahitimu wa Chuo hicho wakiwa katika mahafali hayo wakisubiri kutunukiwa
Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa, jana

Meneja Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Lulu Mengele (kulia) akipozi kwa picha na mke wa Balozi wa Tanzania Nchini Geneva, Rose Mero, baada ya kutunukiwa Stashahada yake.

No comments: