Zitto Kabwe,Mbowe,Mbatia,na Lissu walivyokutana meza moja leo

Kama unakumbuka leo bungeni kulikuwa na moto wa aina yake kuhusu kurushwa ka matangazo ya moja kwa moja na television yaa taifa TBC ambapo waziri mwenye dhamana ya habari Mh Nape Nnauye ametangaza kuwa TBC haitawezsa kurusha matangazo nyote kutokana na Gharama za uendeshaji kuongezeka.

Sakata hili liliwaibua Mh ZITTO KABWE na wabunge wote wa UKAWA na kuipinga Hoja hiyo kwa Nguvu zote na bunge kuahirishwa mara kwa mara hadi Jioni waliporejea.
Jioni wabunge wa Upinzani wametoka nje na kukutana kwa Dharura ambapo waliongozwa na Mahasimu wa kisiasa Mh FREMAN MBOWE na Mbunge wa ACT Mh ZITTO KABWE jambo lililowafanya watanzania kuamini kuwa katika kupigania maslahi ya watanzania upinzani na uhasimu wa kisiasa hauna Nafasi.
Hii hapa ni post ya Mh ZITTO jioni hii kuhusu sakata linaloendelea Bungeni


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.