MATUKIO YA PICHA KATIKA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA

1
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.
6Mbunge wa Hanang Dkt. Mary Nagu akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 1, 2016.

7Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akisoma Mapendekezo ya Mpango wa Taifa Unaokusudiwa Kutekelezwa na Serikali Pamoja na Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali katika Mwaka wa Fedha, 2016/2017, bungeni mjini Dodoma Februari 1, 2016.
4Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangallah akijibu Maswali Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.
5Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akijibu Maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 1, 2016.
2Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki (katikati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016.
3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.  8Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016.
9Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Jukwaa la Wahariri nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 1, 2016. Kutoka kushoto ni Mjumbe , Jesse Kwayu, Makamu Mwenyekiti, Deodatus Balile na Katibu Mkuu Neville Meena.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.