Friday, March 4, 2016

BOA Yawajengea Uwezo wa Kibiashara Wadau na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika Mpango wa Biashara

Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Bwa. Ammish Owusu Amoah akitowa maelezo kwa Washiriki wa Warasha ya Siku Mbili ya Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara kuibua Mipango ya Biashara iliowashirikisha Wadau mbalimbali katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Ammishi Owusu-Amoah akisisitiza jambo wakati wa ufungaji wa Warsha hiyo ya Siku mbili ilioandaliwa na Bank Of Africa kwa ajili ya wafanyabiashara na wadau kuweza kuweza kufanya Mpango wa Biashara.  
Mtaalam wa Banking Tanzania Bwa,Michael Alcorn akitowa maelezo wakati wa Warsha hiyo ya Siku mbili kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar ilioandaliwa na Bank Of Africa Tanzania iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia Mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mafunzo hayo.

Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Meneja SME Banking Albert Nsato akizungumzia jinsi ya Bank yao inavyowajali wateja wao katika kuwapatia Mikopo kwa Wafanyabiashara Wakubwa na Wajasiriamali. 
Meneja Bank of Africa Tawi la Zanzibar Ndg. Juma Burhan akizungumza wakati wa Warshac hiyo huduma zinazopatikana  katika Bank yao kwa Wateja wao.

Washiriki wa Warsha hiyo wakiwa katika makundi kujifunza jinsi ya kupanga Mpango wa Biashara Zao ili kujenga na Kuboresha Uwezo wa Biashara. 
Washiriki wakiwa katika makundi kujifunza kuboresha na kujenga Uwezo wa Biashara zao wakati wa Warsha hiyo ilioandaliwa na Bank Of Africa kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Zanzibar. 

Washiriki wakiwasilisha kazi za makundi yao baada ya kutengeneza Mpango wa Biashara wakati wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali ili kuwajengea Uwezo wa kutengeneza Mpango wa Kuboresha na Kujenga Biashara zao ili kuzikuza.

Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania Ndg. Ammish Owusu-Amoah akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa Mafunzo hayo kulia Mshauri wa Banking Michael Alcorn, mafunzo hayo wa Siku Mbili yaliowashirikisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali na Wadau Zanzibar. 

Imeandaliwa na OthmanMapara.Blogspot.com
Zanzinews.com

No comments: