Saturday, April 30, 2016

Breaking newz--Samahani kwa baadhi ya Picha- WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI WALIOUA NJOMBE WAUWAWA IRINGA MUDA HUU



WATU wawili wanaosadikika kuwa ni majambazi ambao wametokea Njombe wameuwawa katika majibizano ya risasi na polisi baada ya kuvamia Pub ya Mama Siyovelwa iliyopo eneo la mtaa wa Ikulu mjini.Majambazi hao wanasadikiwa kuwa walifanya tukio la ujambazi jana mjini Njombe na kfanikiwa kuua watu wawili na kuiba mali mbalimbali.Habari zaidi zitakujia.HABARI KWA MSAADA WA MZEE WA MATUKIO DAIMA BLOG

No comments: