Huu ndio msiba walioupata CHADEMA jana jioni

TANZIA.!
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu. Lakini amefariki dunia muda mfupi uliopita wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!


PICHA YAKE AKIWA HAI HII HAPA CHINI

Karibu Tena

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.