LUGUMI AIBUKA DAR-AWAKWEPA WAANDISHI HII NDIO TAARIFA YAKE MCHANA HUUWAKATI nchi nzima ikizizima kwa sakata la lugumi enterprises kwa kutumia jina la baadhi ya viongozi  wa serikali kujinufaisha katika tenda iliyohusisha jeshi la polisi na wizara ya mambo yandani Mmliki wa kampuni hiyo Said Lugumi  amekanusha madai hayo kuwa hayana ukweli wowote dhidi yake .

Katika Taarifa yake ambayo iligawiwa kwa wanahabari wakati walipofika ofisini kwake kutaka kusikia maneno yake hii leo kupitia Taarifa hiyo  Mkurugenzi wa LUGUMI Enterprisis Said LUGUMI amesema kuwa jeshi la polisi lilingia mkataba  na kampuni yake kwa ajili yakufunga mitambo ya utambuzi wa alama za vidole AFIS kwa mujibu wa matakwa ya jeshi la polisi nchini katika vituo vya jeshi hilo katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani .

''Kwa mujibu wakampuni yetu kumkukumbu zinaonesha kuwa mkataba huu ulitekelezwa nasi pamoja nawabia wetu katika kuhakikisha mkataba huo unatekelezwa ipasavyo kwa mujibu wamkataba ,kulikuwa kunamgogoro katika utekelezaji wamkataba,upande usioridhika nautekelezaji utatangaza mgogoro na mwanasdheria mkuu na wala si jshi lapolisi kama ilivyoripotiwa nabaadhi yavyombo vya habari ,hivyo  basi sijeshi la polisi wala upande mwingine uliotangaza mgogoro ' "ilisema tarifa hiyo .

Taarifa za kuondoka nje ya nchi kwa mtendaji wa kampuni hiyo si kweli iliongeza taarifa hiyo iliyosomwa na JUMA SABURY ambaye nimfanyakazi katika kampuni hiyo na kueleza kuwa tuhuma za kutoroka kwa mtendaji huyo na vyombo vya habari sio kweli zimetungwa na kuwa mkurugenzi huyo anaendelea nashuguli zake nchini .

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.